Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria, usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli

Shilling 600 ya nauli tu, inakufanya ujikaushe duh Dar kuna njaa
Hajasema kama yupo Dar na hayo mazingira hajasema ni Dar[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Dunia imetufikish mbali sana
 
Hkn kitu napenda Kama kumlipiaa mtu nauli najisikia amani sna Kuna wakt naamua tu kuwalipia wanafunzi wote siyo kwamba mm nintajiri ilaa napenda San kulipia wtu anauli hata kwenda mikoani wee nicheki tu Kama umepungukiwa kidg
 
Wengine kwetu ni Fursa hizo, tukichekewa tu tunaomba na namba [emoji3][emoji3][emoji3] na Nauli Tunalipa. The rest inakua ni parte afta parte
 
Na atakae kuchekea baada ya zoezi la ulipaji wa nauli kwenye usafiri wa umma,,,nao unatushauri Vipi Mkuu??ili tuje kukushukuru baadae pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…