Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

Na mwanamke hawezi kufanya mambo haya mbele ya mwanaume mwerevu labda kwa yule anayeendeshwa na hisia
 
Hivi hayo mambo yanatokea rika zotee ama ni rika ya vijana tu? maana binafs nilisumbuka around 10’s mpk mid 20’s baada ya hapo sioni kama kuna jipya la kusumbua sana, ndio yapo na yanaumiza ila sio mapya hivyo hayashangazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…