Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

Ndo tatizo la madomo zege! yaani mtu nimlipe posho ya kula nimgharimie kwa yote na yote! nina kazi yangu mie, nimesoma mpaka basi!!! nimsomeshee watoto wake, kazini kuna warembo poa Hallow!! ukiona mtu wa hivi siyo domo zege tu amarogwa!!

hivi unajua wanawake wote ni wachawi! dhidi ya wanaume na siku akikuacha hakufungui utaendelea kuweweseka hata miaka kumi! lazima na wewe uwe chawi kumshinda ndiyo mtaishi na hawakomagi hawa!

tena huyo unampa kila kitu ndani achukue aende! akaishi na huyo kenge wake halafu piga kimya!
 
Back
Top Bottom