Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

Kwa kuongezea tuu kuna dalili 4 muhimu

1. Mpenzi wako anakuwa na hasira za mara kwa mara na wewe kitu kidogo tuu ukikosea unashangaa ugomvi

2. Mpenzi wako anageuka mkosoaji wa kila jambo unalolifanya yaani chochote utakachokifanya kwake anakukosoa

3. Mpenzi wako anataka uwe unaanza kuzungumza point mnapoongea au anataka kujua leo una jipya gani kama hauna jipya basi anakuaga

4. Mpenzi wako anaacha kukuita yale majina kimahaba kama my love, sweat,mpenzi anaanza kukuita majina yako kama vile fred, ashura

5. Mara nyingi wewe ndio unakuwa kinara wa kuomba msamaha hata umegundua wewe huna makosa yeye ndo ana makosa ila wewe unaomba msamaha ili mradi yaishe tuu
Kama umepitia haya tayari unastahili cheti😅!!!

Mwanamke aki lose interest ndio huwaga hayo hujitokeza hasa akiwa na new partner anakuona unamchosha tu!
 
Kama umepitia haya tayari unastahili cheti[emoji28]!!!

Mwanamke aki lose interest ndio huwaga hayo hujitokeza hasa akiwa na new partner anakuona unamchosha tu!
Hahahah mimi mwanamke nikishagundua mwanamke ame loose interest na mimi ninachofanyaga .......

1.naanza kutafuta new partner kimya kimya waku ni keep bizee

2.nikishafanikiwa katika hilo napambana kujenga mahusiano mapya huku ya zamani taratibu naanza kuyapotezea

3.nikishafanikiwa ktk hilo moyo wangu nauhamishia kwenye penzi jipya mpka uanze kukolea

4.nikishafanikiwa ktk hilo penzi la zamani naanza kulipotezea mdogo mdogo hivyo by the time penzi la zamani linakaribia kuvunjika halivunjiki linaishia juu kwa juu siku ukikutana na ex wako unajifanya hujui nini kimetokea
 
Hahahahahahahah unajifanyanya huelewi kitu yani🤩
 
Hahahahahahahah unajifanyanya huelewi kitu yani[emoji2956]
Yeah najifanya sijui kinachoendelea
Kumbe mchezo mzima nimeshausoma ninachokifanya

Huwa najitahidi kabla ya kuachwa rasmi tiyali najiachisha mwenyewe

Mwisho wa yanakuja kuishia juu kwa juu
 
Lgbtq member huyo. Hata yeye anajua... Anyway ungejimwaga[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ulivyo sema as if wee ndo unajua sana, khaaah.
Je km naye n member wa LGBTQ? Kihere here na umbea kwa mtoto wa kiume n hatar.
 
Back
Top Bottom