[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakerekwa utaskia "ntakutafta baadae nipo buzzy"Kumekucha [emoji28]!!!
Ukiambiwa utachekiwa acha mapepe sasa we tulia atakucheki! Tatizo ni pale unapoanza usumbufu wa kutaka kupiga piga simu lazma akumaindishe[emoji23]
Ni kawaida kwa mwaka wa pili kubwaganaπ usiache fursa awamu ya 6 hii![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela achaga hizo bas, huyu anataka mie mpare wangu anibwage lol
Hahahahah ukishaona u busy umezidi anza kufungasha virago tu tafta mwenzio ambaye nae atakuwa busy na weweπ ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakerekwa utaskia "ntakutafta baadae nipo buzzy"
Yeaaah cc, wee niandalie tu connection ya kazi, niepuke kutembea na bahasha.We acha tuu yalishawahi kunikuta mtoto wa watu miyee[emoji23][emoji23]
Usharudi chuo katoto, ndiyo tunasherekea graduation mwakani eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile hazina radha, afu za baridi, khaaahMagnum ni zile ndomu za Rick Ross? Acha ukorofi ujue[emoji23][emoji23]
He he he kumbe ushatumia mpaka hizo bintiπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile hazina radha, afu za baridi, khaaah
Karibu sanaa i hope mambo yatakuendea sawa, Mungu mwemaYeaaah cc, wee niandalie tu connection ya kazi, niepuke kutembea na bahasha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af juz tyuuh mpare kaniuliza iv mbna 2nd yr tumesumbuan San, au ndo km kweli uzi wa JF ulivosema, nlicheka mie.Ni kawaida kwa mwaka wa pili kubwagana[emoji28] usiache fursa awamu ya 6 hii!
Ewaaaah hapo kweli sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah ukishaona u busy umezidi anza kufungasha virago tu tafta mwenzio ambaye nae atakuwa busy na wewe[emoji28]!
Ku deal na mtu ambaye anajifanya yuko busy mpaka wewe umtaftage tu ni upuuzi. Love is two way traffic kama haoni umuhimu wa kukutafuta basi nawe jali mambo yako zaidi. Thats respect!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akuuuh nmesema tyuuh.He he he kumbe ushatumia mpaka hizo binti[emoji28]
Hahahahahah ina maana yupo humu af hamjuaniπ ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af juz tyuuh mpare kaniuliza iv mbna 2nd yr tumesumbuan San, au ndo km kweli uzi wa JF ulivosema, nlicheka mie.
Yaan natak niijue ID yake mie,
Ameeen cc [emoji7][emoji7]Karibu sanaa i hope mambo yatakuendea sawa, Mungu mwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nlimpa heka heka huyu mtu, km sio upendo wa dhati kwangu, na mie kuwa na akili timamu wallah tungetemana, af kisa falla m1 asiye hata na maan, msieeew zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah ina maana yupo humu af hamjuani[emoji28]?
Mwaka wa pili kuna pepo mchafu huwa anazengea mahusiano yenu! Akifanikiwa tu anawatenganisha haikuwa rahisi[emoji28]
Shukuru Mungu tu, ungekuwa unajiliza liza kwenye sms sahizi π π π kuomba 2nd chance![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nlimpa heka heka huyu mtu, km sio upendo wa dhati kwangu, na mie kuwa na akili timamu wallah tungetemana, af kisa falla m1 asiye hata na maan, msieeew zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa yaan ningekua mnyonge sanaa,Shukuru mungu tu, ungekuwa unajiliza liza kwenye sms sahizi [emoji28][emoji28][emoji28] kuomba 2nd chance!
Raha ya mapenzi ukishaumizwa mara ya kwanza unakuwa mjanja[emoji28]!!!
Huwezi kulia mara 2 yani ikija awamu ya pili unajiongeza tu yani na wanasema ukiona mapenzi hayakuumizi tena jua ushakuwa malaya.
Magnum bongo zipo ?Tunda kimasihara [emoji28] hio usisahau Magnum tu!
Ndio hivyo crushWee usinambie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magnum unaagiza bongo hamna
Usiniangushe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]