MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Labda kama ni mwanaume uliyejikatia tamaa ila KAMWE usioe mwanamke anayekunywa pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamasamia punguza gubu..Kiswanglish ni lugha inayokera. Huyo jamaa ni wewe.
Kwafaida ya WENGI nikiwepo na mimi ongezea ongezea NYAMALabda kama ni mwanaume uliyejikatia tamaa ila KAMWE usioe mwanamke anayekunywa pombe.
Hakuna sababu ya kuongezea nyama. Kama hutaki unaacha.Kwafaida ya WENGI nikiwepo na mimi ongezea ongezea NYAMA
Ni kwa Nini?
Sema Mungu☺️Sikuhizi mahusiano mazuri ni bahati nasibu mkuu,watu wanalia huko aisee🙌
Umenena vyema ankoEbana eeeh kwema wadau
I rarely post jukwaa hili mara nyingi napita na soma na ku comment tu. Ila mpaka nimeamua kuanzisha thread ni vile nataka wanaume wenzangu hususani vijana ambao mna muelekeo wa kwenda kufunga au kubariki ndoa (kipindi cha ku date na kipindi cha uchumba)
Naturally na biblically (kwenye vitabu vitakatatifu) sisi wanaume hatujakamilika na tuna mapungufu yetu lakini ili tu function vizuri kwenye maisha ni lazima tuwe na ubavu wetu (mwanamke) na sio tu mwanamke bali mwanamke sahihi kinyume na hapo either mambo na maendelo yako yatakua stagnant (hayastawi) ama kuharibikiwa kabisa.
Zipo dalili nyingi sana mbaya tunaweza tukawa tunaziona kwa wanawake ila tunaamua kuzipuuza ila in reality tukishaingia kwenye ndoa zinaongezeka maradufu hatimae kuelekea kuharibikiwa (NB: uhuni, umalaya sio kigezo pekee cha kuachana na mwanamke)
To The Matter, Ukiona viasharia vya tabia hizi kwa mwanamke wako achana nae ni wazi baadae hutafurahia ndoa yako
1. Ubinafsi: Mwananmke mwenye kujithamini zaidi yeye kuliko wewe ambae chances unapambana ku provide sana kwake hakufwai. Upendo na Huruma vinakwenda sambamba, huyu siku uko na hali mbaya hatakua na uchungu na wewe.
2. Dharau: Ukishaona viashiria vya dharau kwa mwanamke wako tena za wazi wazi huyu hakufwai ni wazi hawezi kutunzia heshima yako hata anapokua na watu ambao wanaku undermine, she will never defend you ukiwa haupo na hii hata kwa ndugu zake. Achana na mwanamke asiyejua kusitiri madhaifu ya nyumba yake…..hata kama mambo hayako shawari kati yenu hekima ni kuficha uozo wenu huku mkipambania suluhu kimya kimya. People really dont care about ur problems zaidi ni unafiki tu.
3. Kunyenyekewa: Epuka mwanamke anaependa kunyenyekewa sanaa. Yani wewe mwanaume ukiwa unahitaji kitu kwa mwanamke wako mpaka ubembeleze uombe sanaa kama vile ni hisani kupata kitu flan kwa mkeo. This is very wrong maana kama wewe una provide basics zote why ukiwa na uhitaji uombe na kunyenyekea sana. Wote mnajua umuhimu wa mtu kwa mwenzake. Why beg ?? Haiko sawa ukiona hivyo piga chini. Hizi ni itikadi za unyanyasaji. Jamani kuna wanawake wana nyanyasa, vile wanaume tumeumbiwa ukimya hatuwezi lia lia kwa kila jambo. Amini kwamba.
4. Lugha Na Kauli Chafu: Hii inaendana na point no. 2. Mwanamke asie na staha, heshima na adabu hafai. Brand safi ya familia na nyumba yako ni muhimu. Usitolerate kabisa lugha na kauli chafu from your woman kwenye hadhara hata kama ni utani. Amethubutu kwenye hadhara siku nyingine atakukosea heshima hadharani pia na ni likely hana maadili.
5. Kuendekeza Anasa na Starehe: Sina sababu kueleza sana hapa vijana wa mjini mnanielewa. Ukishaona ni wa hivi chances hana mtazamo wa kutunza hela na kuzalisha mali piga chini. Hamtafika popote ukiwa na mwanamke wa hivi. Mwanamke asiye kua na kiasi na kuwa economical na kukuhamasisha wewe mwanaume kuwa economical na your spending habits achana nae hakufwai. Siku huna kitu lazima asepe na wenye nazo.
Achana kabisa na mwanamke anaekula sana pombe. Kwenye pombe kuna mambo mengi ya kidunia huyu mwanamke hatokufaa.
6. Greed / Tamaa - Muogope mwanamke mwenye tamaa kama ukimwi. Huyu atafanya chochote hata kukuwekea mitego mibaya ili atimize haja zake. Kama mmependana kweli na kuamua kukaa wote kwa shida na raha why aweke misimamo na itikadi za tamaa kama hivi vyake na hivi alileta na kufanya yeye nyumbani na vingine ni vyako. Why kuwe na atmosphere ya mali zako na mali zake kama vyote mnatafuta na kuchangia kwa pamoja mbali ya kwamba mnafanyia nyumba yenu na kwa faida ya watoto. Hii ni shida, divorce rates are high mali nyingi zinaleta shida na wengine hata kuishia pabaya.
Well ndugu zangu naomba na nyie muongezee zingine kama mna cases mnaweza share vijana tujifunze na kuimarika kifikra na mtazamo.
Ni mbaya na hatari kupuuza dalili zote mbaya na chafu za mpenzi wako maana badaae madhara yake ni makubwa na hayataweza tatuliwa kwani ulishafanya mistake kubwa itayo kugharimu ur whole life.
Huo ni mtazamo wangu, Ahsanteni.
Kataa ndoa, tuko kidedea😁Sikuhizi mahusiano mazuri ni bahati nasibu mkuu,watu wanalia huko aisee🙌
Bila shaka ni pisi ya arusha lile kabila la machalii
Point muhimu sana hii, usafi wa nafsi na mwili ni muhimu sana kwa mwanamke. Mwisho wa yote bado tupo tupo kwa kampeni yetu.Mchafu
Nakazia 📌Kataa ndoa, tuko kidedea😁
Kuna mwanamke nimeachana nae kama siku 3 zilizopita, nimekuwanae zaidi ya mwezi 1.Sawa, ongezea tako pia kwenye hizo sifa zako. Nyie ndo huwa mnaishia kuua/kujiua au kukimbia nyumba! Mwanaume ukishindwa kutumia akili kwenye maamuzi umechagua kuanguka.
Kuna mwanamke nimeachana nae kama siku 3 zilizopita, nimekuwanae zaidi ya mwezi 1.
KIlichonifanya niachane nae ni tabia yake ya kujiona yeye ni wa thamani sana kuliko watu wengine, nilikuja shtuka eti hata staili ya ku do, ananipangia! "Sitaki hivo, "fanya hivi, mara nikimuhitaji "nikija kwako ninunulie hiki au kile" kipindi cha mwanzo nilikuwa nafanya anachotaka nikijua tukizoeana atabadilika! Mi mkimya sana, niliamua kuachana nae kimya kimya mpaka sasa akinipigia cm sipokei.
Anatako balaa.
🤭Kataa ndoa, tuko kidedea😁
Njia pekee ya kujua mke bora mtie kofi uone reaction yake