Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
Habari zenu wakuu
Wengi wetu kama sio wote tunawasiliana kwa njia ya simu mara kwa mara, lakini wakati mwingine unakuta kuna ile huna story ya kupiga na aliekupigia/uliempigia, kwangu mimi vitu kama hivi huwa vinanifurahisha haha yaan mtu kapiga ila mnachokiongea sasa!
...
Mnaishia kuongea mambo ambayo kimantiki hata hayana maana
...
Ukiona haya ujue mmeishiwa story
...
Kuulizia hali ya hewa, kama we ni mkulima sawa lakini hamna haja ya kuuliza hali ya hewa, utaskia "Huko mvua imenyesha", "Hapo jua limewaka"
...
Kurudia rudia salamu, ukishasalimia unakuta mtu anarudia salamu ambayo kimsingi ni ileile,
AG: salama huko
BC: salama kabisa
AG: Kwema hapo
BC: kwema kabisa
AG: hamjambo
BC: hatujambo
AG: nyie wazima
BC: sote wazima
...
Kujibu viitikio tu au neno moja moja mda wote unakuta unaongea na mtu ila yeye anajibu neno moja tu anhaa, enhee, mmm, sawa, kumbe, oooh, okay, aya
Vipi kwako wewe mambo huwa yanakuaje