Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Huyo lazima ni ex wako kuna kitu anataka 😹juzi tu apa,namba ngeni imenitafuta,kunisalimia mambo vip,nikamjibu safi,tena anaulza mzima,nikamjibu mtu akisema safi means mzima....... unajua alijibu nin😆