Ukiona hivi ujue umeishiwa maongezi

Ukiona hivi ujue umeishiwa maongezi

juzi tu apa,namba ngeni imenitafuta,kunisalimia mambo vip,nikamjibu safi,tena anaulza mzima,nikamjibu mtu akisema safi means mzima....... unajua alijibu nin
haha enhee
 
Nilishawahi kipigiwa simu na mtu ambaye hana hoja tuliongea weeee! Tulipokaribia kumaliza kuongeza tukaanza kuagana kama hivi:-
MIMI: Basi freshi mkuu.
YEYE: Hamna Noma mshikaji.
MIMI: Ok.
YEYE: Usiku mwema.
MIMI: Na kwako pia.
YEYE: Na kwa familia yako.
MIMI: Kabisa.
YEYE: Ndo hivyo.
MIMI: Hivyoje.
YEYE: Hivyo.
.................

Tuliendelea kuagana mpaka dakika zake zilipoisha, duh... Ila watu wengine!
 
Back
Top Bottom