Ukiona hivi ujue umeishiwa maongezi

Mimi binafsi kama sijawasiliana na mtu muda mrefu afu sina ajenda zaidi ya salamu huwa natuma sms short and clear.
Ex:
Habari Juma za mwaka mpya aisee ni kitambo sojakutafuta. Nimekukumbuka sana jamaa yangu. Full stop!

Hii inaepusha sintofahamu kwa Juma maana anaweza jiuliza huyu jamaa kanitafuta leo au kuna kisanga au shida. Na maosha yenyewe haya
 
Superb technique mkuu! hii nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…