Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane.
Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa huwambii kitu kuhusu chama ma mapinduzi. wengine ni watoto wa mafisadi papa hawa sasa kaa nao mbali kabisa kabisa, karibia watoto wote ma police ni kada watiifu wa ccm.
Ni ngumu sana mtoto wa police,mwalimu,Mtendajina watoto wa mafisadi papa kuwatengenisha na chama cha mapinduzi.
Jana nimeona watoto wadogo miaka kuanzia 7 wakiwa na sare za ccm wakipita mtaa kwa mtaa na wengi wao walikuwa ni watoto wa watumishi nilio taja hapo.
Mtoto kama huyo ni ngumu sana kuja kumtofautisha na ccm huko mbele.