Ukiona kinaelea kimeundwa

tena fanya haraka.

Kimeumana! Tushaona,manake antennae wimaaaa!

Kloro acha maskhara! Nambie wanywea kilabu gani niwe nakuja hapo,nikiangusha wallet unaiba hela tu afu unanirudishia!

hehe king'asti bana, kuna klabu moja inaitwa "kifo ni hobby" iko maeneo ya kwa mfuga mbwa, hapo mimi ni selebriti, unakaribishwa sana

Dah! wakuu inabidi nitimue sasa, waifu wa jirani kaja kuomba chumvi
 
duh yaani mada yenyewe imeshaachwa kujadiliwa saaaa nyiiiiingi watu wameingia katika biashara nyingine tayari
 
Sasa si umpe chumvi urudi? Ama unaenda kuichimba kwanza?kha! Kesho ntakuja pande hizo.

hehe king'asti bana, kuna klabu moja inaitwa "kifo ni hobby" iko maeneo ya kwa mfuga mbwa, hapo mimi ni selebriti, unakaribishwa sana

Dah! wakuu inabidi nitimue sasa, waifu wa jirani kaja kuomba chumvi
 
Asateni kwa hoja zenu nzuri

naomba tuwapongeze wajumbe waliochangia. Next time watakao changia tutawapa pipi;
 
Pipi halambwi pj, yaliwa!
Adi, ushaambiwa next time,this time labda vitumbua kwa wachakachuzi wote

Pipi kwa umri wangu sielewi hata nitaifanyiaje!
Maana ile ni mtambo wa kisukari live!
AD, we umri unakuruhusu kulamba pipi?
 
Na kweli, ukiona chaele,... kiko juu ya maji
 
Pipi kwa umri wangu sielewi hata nitaifanyiaje!
Maana ile ni mtambo wa kisukari live!
AD, we umri unakuruhusu kulamba pipi?

hahaha.... Kwa nadra saaana....lol... Hata hivo nilitaka akinipa nimpelekee binti yangu anapenda saana pipi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…