klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
tena fanya haraka.
Kimeumana! Tushaona,manake antennae wimaaaa!
Kloro acha maskhara! Nambie wanywea kilabu gani niwe nakuja hapo,nikiangusha wallet unaiba hela tu afu unanirudishia!
hehe king'asti bana, kuna klabu moja inaitwa "kifo ni hobby" iko maeneo ya kwa mfuga mbwa, hapo mimi ni selebriti, unakaribishwa sana
Dah! wakuu inabidi nitimue sasa, waifu wa jirani kaja kuomba chumvi