James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
maji ya shingo😀 😀 😀 😀
Nasikia Mwanza walimzomea "akawafokea"
hii imekuwa ni falsafa ya ccm kwa muda mrefu sana. wanaamini nchi ni yao na hakuna wa kuwaambia kitu. Absolutely wrong . . . . Wanancjhi ni lazima waamshwe usingizini kwanzahuyu mtu anafikiri pesa ya serikali ni yake binafsi. Ana mawazo finyu mpaka anajisahau kwamba hata wanaowapigia kura wapinzani pia wanalipa kodi na wanastahili kuona matunda ya jasho lao.
HILI LIBEBERU LI GIANT KWELI KWELIKama Magufuli na IQ yake ya chini hivi ameweza kuwa rais basi hata Piere Liquid anaweza kutuongoza.
View attachment 1561697
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Analialia apewe urais wa kuonewa huruma huyo hana loloteView attachment 1561725
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaesubiri tarehe ya kuapishwa.
Rekebisha kichwa cha habari , hapo kwenye "kiongozi" weka MAGUFULI.