GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uaneni kabisa na hayo matimu yenu ya Kisiasa1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO, King Kong III na wengine (baadhi) mtakuwa mmenielewa vyema na kuuelewa vyema huu Uzi.
Imeisha hiyo.......!!!!!!!
Ishi! Kwani wewe zombi? Ungesema mchangiaji ni mmoja tu.Uzi umedoda🤣🤣🤣🤣 Dakika 49 hakuna mchangiaji hata mmoja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekupata Comrade chawa hawajafungua code bado wanang'aang'aa macho kama mazombie1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO, King Kong III na wengine (baadhi) mtakuwa mmenielewa vyema na kuuelewa vyema huu Uzi.
Imeisha hiyo.......!!!!!!!
Wewe unakaa Siku 60 'Nyabe Nyabenga' lako limedoda Kukanyagwa na Masela kwa Kunuka Choo kilichotukuka huwa unajishangaa?Uzi umedoda🤣🤣🤣🤣 Dakika 49 hakuna mchangiaji hata mmoja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uko sahihi Mkuu. Mada za GENTAMYCINE ukiwa Mpumbavu kamwe huwezi Kuzielewa.Nimekupata Comrade chawa hawajafungua code bado wanang'aang'aa macho kama mazombie
Dogo tupiako basi " My take" kwenye hii comment yako.Uaneni kabisa na hayo matimu yenu ya Kisiasa
My TakeDogo tupiako basi " My take" kwenye hii comment yako.
N de A
Hahaha 😆😅🤣My Take
Yanga & Simba ni vitimu vinavyoharibu mpira.
Dogo ni baba Yako.
vAriable kakatiza mitaa hiyo tayariNimekupata Comrade chawa hawajafungua code bado wanang'aang'aa macho kama mazombie
Kwa nini unaweka namba ya simu mkuu ?0682699142
Hizo namba ndizo anazotumia GENTAMYCINE kusumbua watuKwa nini unaweka namba ya simu mkuu ?
Kusumbua katika Kuwakaza au kuwapa Mimba zangu?Hizo namba ndizo anazotumia GENTAMYCINE kusumbua watu