Ukiona kiongozi yoyote mng'ang'ania madaraka Duniani, ujue ana asili ya Afrika

Hiyo picha ya mwafrika ina mahusiano gani na uongozi
 
Usikute putin ni kataa ndoa, aliamua kuzaa tu huku Africa
 
Nyerere hakung'ang'ania madaraka kwa sababu alikuwa mholanzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…