Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

Ushauri mzuri ila Tanzania inataka mabadiliko kwa gharama yoyote ile mwaka huu👿
Mkuu, hilo la "Tanzania inataka mabadiliko kwa gharama yoyote ile MWAKA HUU" halina mjadala tena.
Mabadiliko yasipotokea mwaka huu yatatokea lini? Kuna sababu zipi tena za kutokuwepo mabadiliko mwaka huu?

Tusubiri hadi hapo Samia na genge lake watakaposema pawepo mabadiliko?
 
Kwenye mikutano yote ya Nchimbi na Wassira watu wote wana uniform za kijani huwa wanawavalisha au huwa watu wa eneo husika ni wanaccm tu ?
 
ukimsikiliza makala,wasira na wengine wanaCCM unaweza kusema wako American Talent kama yule anayeimba kutumia kijambio akijamba mpaka wakampa MIC bure
 
Kwenye mikutano yote ya Nchimbi na Wassira watu wote wana uniform za kijani huwa wanawavalisha au huwa watu wa eneo husika ni wanaccm tu ?
Ndo ujue kuwa CCM huwa inawalipa watu wahudhurie mikutano yao👿
 
Mikutano yao yote unakuta green tupu huwa wanakusanya wanachama tu ?
Ndio kabisaaa na bila kuwalazimisha wananchi kuacha shughuli zao waende mikutanoni, wangekuwa wanakosa wasikilizaji 👿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…