Ukiona Mdada anakusalimia basi jiandae kwa haya yafuatayo

Dunia hii kama huna mdada mzuri anayeusaga moyo wako, hiyo pesa unaila kama ugali bila mboga😂😂
Ila starehe zinatofautiana chief katika kuusuza moyo. Mfano mimi mapenz kwangu na stick kwenye the basics tu, sio sehemubya starehe kabisaaaaaa so ku enjoy pesa hata nikiwa alone, manzi ha play part kabisa mimi kuufaid ukimwengu
 
Ila starehe zinatofautiana chief katika kuusuza moyo. Mfano mimi mapenz kwangu na stick kwenye the basics tu, sio sehemubya starehe kabisaaaaaa so ku enjoy pesa hata nikiwa alone, manzi ha play part kabisa mimi kuufaid ukimwengu
Unakunywa vitu vikali?
 
Barikiwa mtumishi,mimi nakubaliana na wewe zinaa inaathiri sana kiroho kabla ya kupita na single mom nilikua mtu wa maombi ila kwa sasa nimekua mzito sana hata kumuomba Mungu naona kama najichosha tu hapo bado kimwili sijajua mana tumepita peku,zinaa mbaya aisee.
 
Ukisalimia utaambiwa unamtaka bure mkaka wa watu🤔🏃‍♀️
Basi kuna sehemu kuna watu wengi , nilikua nikipita namute no salamu, nikawa nawasikia wananisema haka kadada hakasalimii siku ataanguka hapa hatutamuokota, heee hiyo siku nimetoka sokoni na mafurushi yangu napita hapo, yaani nilianguka mafurushi kulee, aibuuu ila walinisaidia kuninyanyua😀😀😀 now nikipita nasalimiaa
 
Si mnasema inachosha kula mlo huohuo kila siku
Sio kweli.
Mimi binafsi nikiwa penzini na mpenzi hana kona, amenyooka siwezi kuwa na mchepuko.
Siwezagi kuugawa moyo.

Kuwa na wake wengi sio ufahari ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…