Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijaribu hili pia akakataa na Kungangania nimpe Hela kutoka Mkononi mwangu.Akiomba unamrushia kwa Tigo pesa, ili achukue nyota ya tigo 😅😅
GENTAMYCIME sio kweli mkuu...😜😜Lkn si anamiliki multiple ID's humu umesahau hilo?...
Mkuu una Jero ( 500/= ) hapo nije kuichukua Mkononi mwako nikanunua Soda Mpya Tamu ya Kampuni ya Pepsi iitwayo SUPA COMMANDO?Imani yako,Umaskini wako
Sisi ngozi ngeusi kilakitu tunaamini ni ulozi
Kwa kweli hawa ni tatizo!Mkuu nimecheka kwa hii post yako mpaka basi. Leo nimegundua kumbe Umasikini wangu mkubwa GENTAMYCINE lawama zote nizipeleke kwa Wachawi na Waiba Nyota.
Asante sana Mkuu kwa Maelezo haya.Wewe kuanza kununua na biashara yake ikaenda vizuri sana kwa siku hiyo inamaanisha NYOTA YAKO NI KALI SANA na HAIJACHAFULIWA.
Kumpa hela yako ni kweli ataitumia kuchukua nyota yako, alafu utaanza kugombana na watu ovyo, utakosa kibali kwa watu, mambo yako yataharibika na yake ndo yatakaa vizur zaidi.
Usije ukathubutu hata kulala nae sababu kuna njia ya kuchukua nyota kupitia ngono. Ndio maana akili yako imeshakwambia hata ukiomba hawez kataa, huo ni mtego.
Nimeogopa sana Simpi na Simbandui.Hahahah mkuu genta, una mnyima tu dada wa watu hela ya soda bure, hataki umnunulie wew coz lengo lake ni kwamb ukishampa mkononi anaisave kwa ajili ya kujazia pale palipopungua tu, mfano. Chakula nyumban kwa ajili ya watoto etc
Wanawake walikufanyaje mkuu ? 😂Mimi nachofahamu wanawake hawanaga nyota za Mafanikio hayo mambo mengine ni usanii tu
Fursa hiyo ichangamkie kabla hawajapita nayo.Kuuumbe!Mimi nikikataa kununua bidhaa uyo mchuuzi ataniomba ata anikopeshe nikienda maduka ya wanao nifahamu sihudumiwi haraka kwanza waniongeleshe ata dk2 na ghafla wateja wanaanza kujaa,nikiamua kuacha kazi mabosi wananuna wanadai nawanyima ridhki...na hii kitu ipo kwamwanangu wakiume pia,uko shuleni walimu wanamgombea awauzie viandazi vyao ila nimeenda mwenyewe kuwapiga marufuku hao walimu.Mimi ni ng'ombe yeye ni mbuzi kumbe ni nyota!au sio nyota hizi??
GENTAMYCINE mwaka 2010 hadi 2014 nilikuwa Mkufunzi wa Chuo fulani ( Nakihifadhi ) na nakumbuka kwa Ufundishaji wangu, Ukomedi wangu, Upendo wangu, Urafiki na Kujishusha Kwangu kwa Wanafunzi kulinifanya Nipendwe, Nikubalike, Nijulikane mpaka Wakufunzi Wenzangu baadhi wakaanza Kunichukia huku Wengine hadi wakidiriki kusema Mimi ni Mchawi na Freemason.Kuuumbe!Mimi nikikataa kununua bidhaa uyo mchuuzi ataniomba ata anikopeshe nikienda maduka ya wanao nifahamu sihudumiwi haraka kwanza waniongeleshe ata dk2 na ghafla wateja wanaanza kujaa,nikiamua kuacha kazi mabosi wananuna wanadai nawanyima ridhki...na hii kitu ipo kwamwanangu wakiume pia,uko shuleni walimu wanamgombea awauzie viandazi vyao ila nimeenda mwenyewe kuwapiga marufuku hao walimu.Mimi ni ng'ombe yeye ni mbuzi kumbe ni nyota!au sio nyota hizi??
Popoma limeamkaKuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake.
Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika kiasi kwamba kwa dalili nizionazo hata nikimuomba Mbunye yake Niitandike / Niitindue hawezi Kuninyima.
Aliponichosha sasa ni tabia yake ya Wiki nzima kila akiniona ananiomba nimpe Hela akanunue Soda na GENTAMYCINE nikimwambie nimuagizie Soda anywe hataki na huwa ananikunjia Sura kwa Kuchukia.
Kuna Mtu Mmoja ( Mzee na Mtaalam ) nilipomgusia hili akanionya nisithubutu kumpa Hela ya Kuomba kwani anataka Kuchukua Nyota yangu ya Kimvuto kwa Biashara yake hiyo.
Muwe makini na nyie Wengine wenye Nyota Kali na za Kimvuto msije Kutegwa na mkajikuta mnawatajirisha Watu nanyi kusota na Umasikini.
Umeanza mama dWatu waoga sana🤣
Halafu wengi hawakijui hata wanachokiogopa 😅😅😅
Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. - MATHAYO 10:1