Ooh ahsante Sana kwa kunijuza..maana sijuagi utofauti etiππSawa Mkuu lakini zipo za aina tofauti hii design ni tofauti
View attachment 2128297
Wazanzibari wanapiga hiziπ
View attachment 2128298
MnandaJina lake tafadhali
Yeah!Mnanda
mnapungukiwa kutokujua kupiga ngoma.Tusipojua kupiga ngoma tunapungukiwa nini?
Sasa hivi una Imani nusu?Enzi hizo nikiwa na imani kamili,nilikuwa sikosi kuhudhuria mikutano ya mzee Mosses kulola,kulikuwa na mwimbaji mmoja wa nyimbo za injili akiitwa mzungu four,huyu mtu alikuwa anakigandamiza hicho kifaa hadi unahisi usingizi,alikuwa sambamba na Faustine munishi,umenikumbusha mbali.
mnapungukiwa kutokujua kupiga ngoma.
Ndio ilikua zao,kama sikosei ile style ya uimbaji walikua wanaita mchiriku,wanapita group wanaimba na kupiga huo mnada huku wanapora watu.Nakumbuka matukio ya ukabaji na uporwaji Wa mchana kweupeee!! Huko maeneo ya temeke mikoroshini, Tandika n.k Wahuni wamevaa vipensi tu na ndala zimewekwa mfuko Wa nyuma!