Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha meingi sanaEnzi hizo nikiwa na imani kamili,nilikuwa sikosi kuhudhuria mikutano ya mzee Mosses kulola,kulikuwa na mwimbaji mmoja wa nyimbo za injili akiitwa mzungu four,huyu mtu alikuwa anakigandamiza hicho kifaa hadi unahisi usingizi,alikuwa sambamba na Faustine munishi,umenikumbusha mbali.