ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Miche mingi inahitaji hewa tuKwahivi viwanja vya mjini hata sehemu yakupanda hizo vitu huwezi pata
Mkuu ndege JOHN sasa umenidharau rafiki ? Je hii vita utaiweza au nikusamehe tuKama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
Bwasheee huu ndo mda wa kuandaa Miche na kupanda hapo nyumbani kwakoJamiiForums siku hizi mtu anapost kila kinachokuja kichwani
Haahahahaha pole mkuu utajenga tu na wewe mdo mdoMkuu ndege JOHN sasa umenidharau rafiki ? Je hii vita utaiweza au nikusamehe tu
Anaishi wapi sasa?Ukiona mtu anakaa anawaza kuandika uzi kama huu ujue hana nyumba!
Je wenye shamba la mapapai na hawana nyumba inakuaje hapo?
Nimesikitika sana 🙁
Anashamba la mipapai na kapangaAnaishi wapi sasa?
Mipapai tu au na mafenesi? Mana naweza kupanda vyote hivyo halafu kesho mkanishangaa nikinunua maembeBwasheee huu ndo mda wa kuandaa Miche na kupanda hapo nyumbani kwako