Ukiona mtu ananunua papai ujue hana nyumba

Ukiona mtu ananunua papai ujue hana nyumba

Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo, upande migomba, upande mipapai msitu wa matembere, lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani. Ukinunua papai wewe umepanga.
Sasa kama hayajakomaa ale mabichi??? wakati anayaona yalioiva barabarani
 
Back
Top Bottom