Nikianza nitakujulisha mkuu.Anza sasa na unipe mrejesho wa picha
Nitakusumbua coz tunajijua sisi wamatumbi kwa ahadi za uongo๐Nikianza nitakujulisha mkuu.
20ร20 hata kwa kuweka mgomba hakuna.Kwahivi viwanja vya mjini hata sehemu yakupanda hizo vitu huwezi pata
๐๐๐นNitakusumbua coz tunajijua sisi wamatumbi kwa ahadi za uongo๐
Wewe cheka utaona tu๐๐๐น
Ondoa shaka mkuu.
Sawa mkuu.Wewe cheka utaona tu
Sasa kama hayajakomaa ale mabichi??? wakati anayaona yalioiva barabaraniKama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo, upande migomba, upande mipapai msitu wa matembere, lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani. Ukinunua papai wewe umepanga.