Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nimeona roho za kupinga Watumishi wa Mungu zikisambaa vyema kama unaweza watu wa aina hii usibishane nao we angalia wao wanapiga kelelee wamefanya nn juu ya Mungu
Ukiona hamna kitu ujue basi we kazi yako nenda kapokee kile Mungu amekuandalia kwenye maisha yako na sio kuungana kushindana nao wote mtaonekana wehu
Kama unakasirika mkesha na wewe fanya mkesha wako watu waje kama unachukia uponyaji na wewe nenda ukaponywe.
Pesa sio kila kitu Neno la Mungu ndio kila kitu katika maisha yetu. Ukiondoa Neno la Mungu umeondoa kila kitu kwenye maisha yako