GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa? Kwahiyo huyo Askari wenu Sikivu Yeye ameuwawa kwa kutokuwa Msikivu kwa Wananchi waliokuwa wakidai Haki yao?
Wewe uliyevaa Miwani myeusi rekebisha hapo uliposema kuwa kama kuna Mwananchi aliyeumia aje awaone ili mkamtibie na sema tu kuwa kwa wale waliojeruhiwa wote wasithubutu kuja Kwenu Kujionyesha kwani wakija ndyo Safari yao ya kwenda kuyaanza Maisha mapya Udongoni Kaburini ( nikimaanisha Kufa ) ndiyo itakuwa imeanza..
Unatolea Maelezo jambo ( Suala ) muhimu unatuvalia Miwani yako myeusi ya nini? Kuna Watu ni Wapumbavu mno tu.