Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

(Nje kidogo ya mada)Usingizi kitu kingine mzee.
Kuna mchizi alisinzia mgodini akakutwa na supervisor kaburu.

Mchizi anastuka kaburu keshafika,ikabidi aendelee na pozi lile lile la kuinamisha kichwa.

Kaburu kumstua mchizi, mchizi yupo kimya kama sekunde kumi halafu baada ya hapo akanyanyua kichwa kisha akapiga ishara ya msalaba.

Mchizi akamwambia kaburu sijalala nilikua nasali
 
Nimefuatilia comment nyingi,kuna wadau kadhaa wametoa ushauri mzuri sana ingawa wahusika hawataki kuambiwa ukweli

Ukweli ni kwamba kazi ngumu zina madhara makubwa sana ukifanya kwa mda mrefu,msione mnalipwa mahela mengi,hamlipwi bure bali ni kufidia afya yenu inayo haribiwa

Kibaya zaidi na nyie mnazidi kuharibu afya zenu kwa mapombe na kuendekeza ngono

Nilifikir mtu anayejielewa na kutambua thamani ya afya yake angekuwa na plan ya kufanya miaka kadhaa kisha aondoke kwenye hiyo risk na kuwa sehemu salama

Huo mtindo wenu wa maisha sio ujanja ni ujinga ambao mnauendekeza

Anyway kama kuna ambaye amekasirishwa na hili mimi sijali,na akijisikia kutukana atukane ajisikie ahueni
 
Ongezea na ubaharia mkuu

Bahari ione tu lakini sio uingie ukafanye kazi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Sasa je yaan mna bata sana naskia mnakula sana totoz plas pesa zipo...
An dereva bajaji usipo jenga ni ww tu
Hapo kwenye kujenga sina uwakika ila hawa maslay queen wengi na sio wote wanaliwa sana, maana wanataka ela ya bando na chipsi na kuku na juice ya pasion kabla ajaenda kwa jamaa yake na ukipewa show ufanyi ajizi lazima utembee na mkongo au asali ya uturuki ili kufidia gharama ulizopata.
 
Nyieeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole mkuu

Nahisi anayekushauri utumie kuwekeza vitega uchumi ili baadaye uache kazi kuokoa afya yako.
 
Mkuu maisha ni haya haya kazi zile ngumu mnooo
Ugumu wa kazi haihusiani na kutokufanya maendeleo. Namjua bwana mdogo alikuwa jumbo operator hapa GGM, alikuwa nachukua zaidi ya mil15, akapata shavu uarabuni mishahara mil30. Dogo Hana nyumba Hana mke anakula bata Tu na magari wakati umri WA kustaafu unakaribia. Most of people ninaowajua wamestaafu wanabaki kusimulia Tu bata walizokuwa wanakula.
 
Hata sisi ma paroko ukiona tunakunywa mvinyo msilete shobo hamjui tunasikiliza dhambi za namna gani kutoka kwa waumini wetu.
 
Ufanye kazi ngumu hivyo na upate hela kwa shida, only kuja kunywa pombe tu na ngono?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…