Ukiona mtu kaanzisha mada ya kidini usichangie, Ukichangia unamaanisha wewe ni mdini, hebu tuzipotezee ili ziondoke hapa JF

kulagha nenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2026
Posts
690
Reaction score
1,375
Siku za karibuni Kuna mfumuko mkubwa wa mada za kidini ukizifuatilia utagundua hazina mana yeyote zaidi ya kuchafuana na kubezana. Sisi ni wastaarabu hebu Kila mtu abaki na imani yake.

Kataa kujadili maswala ya dini. Dini yako hawezi kuleta chakula mezani zinduka.
 
Uhuru niwa kila mtu, yeye ndiye ataamua akae upande gani... Where we dare to talk openly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…