Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

pouwa kipenzi hivi tulikuwa marafiki tangu enzi asee inabidi tufanye hii relation ivuke step hii iingie step 2
Daaah hayo si ndo maneno!!
Wanikumbusha mbaali sana na cjui ilikuwaje tukapotezana!!
 
Daaah hayo si ndo maneno!!
Wanikumbusha mbaali sana na cjui ilikuwaje tukapotezana!!
nashangaa ilikuwaje ila mie sitokagi jf nipo hapa daima milele. mpaka niingie 6 feets under asee maana hapa

kuna kujifunza japo sometimes in a hard way ila.. unajifunza
 
nashangaa ila mie sitokag jf nipo hapa daima milele mpaka niingie 6 feets under asee maana hapa

kuna kujifunza japo sometimes in a hard way ila unajifunza
Najua upo sana but tusipobadilishana salamu inapunguza ukaribu na mahusiano, bado nakupenda[emoji85]
 
Wajameni naomba kujuzwa kuwa kuna fursa gani kwa mtu aliye maarufu humu JF....,,
 
Waow.... hebu ngoja kwanza. Ngoja nipige jaramba. Nataka nikundindindi mpaka uwe Gadnalaizd...

Nikukute without puliiiz.... nna kibaba chako. Kisipojaa tena tutapingua mahaba yetu.

Liwalo na liwe.

Kijaza shimo kinakipa hi kipokea kimiminika.... kifikishie salamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…