Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

pouwa kipenzi hivi tulikuwa marafiki tangu enzi asee inabidi tufanye hii relation ivuke step hii iingie step 2
Daaah hayo si ndo maneno!!
Wanikumbusha mbaali sana na cjui ilikuwaje tukapotezana!!
 
Daaah hayo si ndo maneno!!
Wanikumbusha mbaali sana na cjui ilikuwaje tukapotezana!!
nashangaa ilikuwaje ila mie sitokagi jf nipo hapa daima milele. mpaka niingie 6 feets under asee maana hapa

kuna kujifunza japo sometimes in a hard way ila.. unajifunza
 
nashangaa ila mie sitokag jf nipo hapa daima milele mpaka niingie 6 feets under asee maana hapa

kuna kujifunza japo sometimes in a hard way ila unajifunza
Najua upo sana but tusipobadilishana salamu inapunguza ukaribu na mahusiano, bado nakupenda[emoji85]
 
Wajameni naomba kujuzwa kuwa kuna fursa gani kwa mtu aliye maarufu humu JF....,,
 
Hahahahahhahaaa lile shimoni babu halijaagi pamoja na juhudi zangu zote waapi. Zaidi yake nabakigi migulu baja tuu na kununiwa kuwa nataka kumkausha mtu damu hehehehehe

Let me come that way babuuuu to fulfill your needs but mie natamani kweli kishimo kajae ili niache haka kamchezo maana kila ukicheza utamu unazidi wa jana......[emoji14][emoji14]

Mwaaah to the kijaza shimo😀😀😀

Kasie.
Waow.... hebu ngoja kwanza. Ngoja nipige jaramba. Nataka nikundindindi mpaka uwe Gadnalaizd...

Nikukute without puliiiz.... nna kibaba chako. Kisipojaa tena tutapingua mahaba yetu.

Liwalo na liwe.

Kijaza shimo kinakipa hi kipokea kimiminika.... kifikishie salamu.
 
Back
Top Bottom