Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Hahahahahahaaa

Kuuliza si ujinga japo gugo na kamusi ipo, saa ingine maana inakaa ukisimuliwa.

Hivi Kiki ndo nini? Wanaposema mtu anatafuta Kiki wanamaanisha nini?

Kuna kitu anakuwa amekipoteza ndo anakitafuta kwa watu au ...... kiukweli nausikia tuu huo msemo ila sielewi wanaanishaga nini.

Kasie.
 
1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone.

2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi aonekane na yeye basi yupo na watu wamjue.

3. They always go against the trend. Unakuta thread inahusu maloveee anatokea mwehu ana comment "JK FISADI" ili mradi watu wa pay attention.

4. Wanapenda kujidai wanawafaham na wanamazoea na wale members ambao ni ma pro. Utaona tu kaandika comment halafu anajidai kum tag Nyani Ngabu, The Boss, lara 1, Bitoz, Valentina, miss chagga, faiza Fox..... Ndugu yangu wewe Id yako yenyewe ya juzi halafu unajidai eti unawafaham ma pro wa JF... unatafuta kiki.

5 Kila thread lazima acomment hata kama hana cha maana cha kuandika na haimuhusu.

6 Kama ni mwanaume basi atataka aonekane yeye Handsome boy matawi ya juu na kama ni ke basi atatafuta namna tu kwenye comment zake ajioneshe yeye wa moto na ni girl wa ukweeee, kumbe hamna kitu.

Embu ongezeeni nyingine tuwanange watafuta kiki wote wa JF....
Hii thread yako yenyewe ni unatafuta kiki....
 
Hahahahahahaaa

Kuuliza si ujinga japo gugo na kamusi ipo, saa ingine maana inakaa ukisimuliwa.

Hivi Kiki ndo nini? Wanaposema mtu anatafuta Kiki wanamaanisha nini?

Kuna kitu anakuwa amekipoteza ndo anakitafuta kwa watu au ...... kiukweli nausikia tuu huo msemo ila sielewi wanaanishaga nini.

Kasie.
Yaani Kasinde chukulia mfano chura akipigwa teke inakuwaje? Si huwa anaruka juu? Sasa ndo hivo kwa binadamu kutafuta kiki maanake ni kama mtu kutafuta umaarufu. Simple like that.... Sasa huku JF kuna watu wa namna hiyo kibao
 
Okeee kumbee duuh.... Je wale watu ambao wao ni viherehere na wanapenda kujiweka kimbele mbele kila kitu wao ndo waonekane ndo wamesaidia au ndo wamefanya..... hawa nao wanatafuta Kiki? Na wale wamezaliwa hivyo nao ni Kiki za kuzaliwa au nachanganya madesa?

Ukiniona mgumu kuelewa basi ujue ni kosa la umri wangu na mambo yenyewe.

Ajuza Kasie.
 
Pole sana japo umefikia hatua ya kuvaa miwani lakini maswali yako ni ya msingi kabisa. Hata hao viherehere nao ni watafuta kiki. yaani kwa ufupi hizo nilizoandika hapo ni watafuta kiki wa hapa JF ila ukiingia kwenye jamii utakutana na watafuta kiki hao ambao ni viherehere, vimbelembele na wale muchknow..... Kutafuta kiki mbaya sana
 
Kwenye dunia ya sa iv kiki ni kama heart of ocean diamond,.... Inasakwa hatari!
 
tatzo hiyo ID yako tu. eti 'NAANTOMBE" dooh km we ni KE bac itakua unawashwa sana ila kama ni ME dooh hasara
 
Back
Top Bottom