Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Ha ha ha ha Mama Mkwe hawezi kumuita mjukuu wake. Atadhani ni kudoo.

JPM Karudisha Balozi mmoja hivi kisa Jina kama lako, chezea JPM ata ww atakuswaga Kenya: Ha ha ha ha
Hahaha we unashangaa sana hili jina? Kuna ukoo unaitwa Mboro mi mbona afadhali
 
Naifuata kiki [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mi nakusalimu tu mpenzi wangu,

Sina mengi sana kwa leo.

Tafadhali ukishapata jibu usisahau kuniPM.

Mwwwah kwa lips zetu kama kawa.....

Hahahahahhahaaa lile shimoni babu halijaagi pamoja na juhudi zangu zote waapi. Zaidi yake nabakigi migulu baja tuu na kununiwa kuwa nataka kumkausha mtu damu hehehehehe

Let me come that way babuuuu to fulfill your needs but mie natamani kweli kishimo kajae ili niache haka kamchezo maana kila ukicheza utamu unazidi wa jana......😛😛

Mwaaah to the kijaza shimo😀😀😀

Kasie.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Kapi hako!!!
 
Back
Top Bottom