Ukiona mwanamke kaacha kukupenda, achana naye kabla hujaachwa

Mbona mnajirudi na kushusha kamasi?

Ila ke ni kiumbe hatari sana jirani, nyie, nyie, nyie hapana kwa kweli. Yani akiweka nukta mi nachana daftari kabisa.
Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.
Yote chanzo ni nyie, mna ushubwada mwingi sana.!! Sasa KE akichoka mnaanza kujiliza.
 
Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.
Yote chanzo ni nyie, mna ushubwada mwingi sana.!! Sasa KE akichoka mnaanza kujiliza.
Lamomy you're talking from experience I see πŸ˜‚
Inaonekana huko nyuma Kuna mtu ulipiga Sana matukio sio bure
 
Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.
Yote chanzo ni nyie, mna ushubwada mwingi sana.!! Sasa KE akichoka mnaanza kujiliza.
Akili zenu mnazijua wenyewe wala msitusingizie kuwa chanzo ni sisi.
 
Naishi humuπŸ˜…
 
Duh, aisee πŸ€”,,, wanawake Ni viumbe hatari Sana.
 
Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.
Yote chanzo ni nyie, mna ushubwada mwingi sana.!! Sasa KE akichoka mnaanza kujiliza.
Mimi ni mwanaume lakini nilichogundua ni kuwa siku hizi malalamiko ya wanaume kwa wanawake kwenye uhusiano yamekuwa mengi sana. Tatizo liko hapa: wanawake wa siku hizi wamejitambua na siyo kama wale wa zamani. Zamani mwanamke alikuwa ni kiumbe wa nyumbani, mlezi wa watoto wakati mwanaume alikuwa ni mtu wa kutoka, kufukuzia wanawake wengine kama anavyopenda na kufanya atakavyo. Sasa hivi utandawazi umefanya wanawake kuwa wajanja na kujibu mapigo. Zamani mwanamke akibadilisha wanaume kila uchwao alikuwa anaitwa malaya siku hizi wanasema kaachana na fulani na inaonekana ni jambo la kawaida kabisa.
 
Hamna bana, mimi mapenzi nayachukulia km burudani wala siyapi kipaumbele. Dj akizima muziki naenda kulala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa Lamomy unataka kusema saivi haupo Kwenye serious r/ship inanoweza kuzalisha ndoa?
 
Unakaribia kufa bro, ushaanza kugundua siri zetu.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanawake siku hizi tunatafuta pesa na tunakutana na wanaume mbalimbali wenye ushawishi, sasa nianze kumsujudia king’ong’o mmoja asiyejitambua wa kazi gani??
Kwanza siku hizi mkituacha tunaagiza flying fish ya baridi tunashushia sio shida zetu. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Sasa Lamomy unataka kusema saivi haupo Kwenye serious r/ship inanoweza kuzalisha ndoa?
Mimi ndoa ya kazi gani?? Niache kuponda raha za dunia nianze kufikiria kufua boksa za mtoto wa mtu.!!? 🀣🀣🀣
 
hamuwajui hao ooh, mimi mpaka sasa nimeachan na manz karibia 4, mmoja alimpata mwalimu, wawili waliamua kurudia ma ex zao, mmoja wa mwisho kaend udsm kapata huko mshakaji, oho am already taken aisee, till now am singel, saivi kwanza nikitaka kuw na manz lazma anipe background, mambo yakuwa na mtu alfu ex awe anarudi kuomba msamaha tiari wewe mpya unakimbiwa , ila sidhani kama nitaoa.
 
Ukiambiwa we boyfriend haimaniishi uko pekeako, wadogo usoni wanahifadhi adi wazee wako, sijui ni dhiki au tamaa tu.
Anataka kuolewa na anamegwa kama kawa.

🎡 Scottz unaolini, bado nipo nipo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…