Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Urafiki wa mashakaWalishona hadi sare ya kitenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urafiki wa mashakaWalishona hadi sare ya kitenge
Amini nawaambia utamu wa wanawake umeambatana na ushetani ndani yake
Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.Mbona mnajirudi na kushusha kamasi?
Ila ke ni kiumbe hatari sana jirani, nyie, nyie, nyie hapana kwa kweli. Yani akiweka nukta mi nachana daftari kabisa.
Lamomy you're talking from experience I see 😂Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.
Yote chanzo ni nyie, mna ushubwada mwingi sana.!! Sasa KE akichoka mnaanza kujiliza.
Akili zenu mnazijua wenyewe wala msitusingizie kuwa chanzo ni sisi.Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.
Yote chanzo ni nyie, mna ushubwada mwingi sana.!! Sasa KE akichoka mnaanza kujiliza.
Naishi humu😅Mwanaume usipoteze mda wako kumpenda mtoto wa mtu, mambo ya kufanya ni mengi majukumu shazi..... Akikupa kula akisusa achana nae wapo wengi mno duniani mpaka wanatupita kwa idadi....... So as a man heshimu thamani yako.
Slow down your mind control your lust, utagundua they gat nothing to offer you rather than pussy.
Mwanaume mwenzangu kataa kuwa manipulated na hawa viumbe dhaifu..📌
Duh, aisee 🤔,,, wanawake Ni viumbe hatari Sana.Upo sahihi mkuu, nilikua na demu nilitokea kumpenda na yeye akanipenda.
Kwa kuwa nilikua na kazi na yeye hana nikaamua kumpambania mpaka akapata kazi tena nzuri ofisi ya mshkaji angu.
Aliivyoanza kushika vipesa vya hapa na pale nikaanza kuona mabadiliko. Ikawa sometimes nikiomba faragha visingizio haviishi, mara niko bize kazini mara naumwa, nikitaka kwenda kumpokea kazini anajivuuuta kunijibu na wakati mwingine nikifika kazini kwao nakuta ameshaondoka nikimchek ananiambia Amepata lift.
Kufikia hapo mie red flag 🚩 zikaanza kujionyesha bila kificho lakini kidume sikutaka kuamini hali halisi nikazidi kukaza shingo.
Kuna siku nampigia simu ikawa inatumika kama dk5 hivi mfululizo(kidume najipa moyo labda anaongea na mama yake) baada ya hapo simu ikawa inaita ila haipokelewi baadae ikawa haipatikani kabisaaa hakuna siku nilipagawa kama siku hiyo.
Baada ya muda kidogo naona txt inaingia nikaifungua kwa kimuhemuhe, sasa kila nikiisoma naona mbona kama hii txt hainihusu mimi? Kumbe demu alikosea badala ya kumtumia bwana ake mpya akawa ameituma kwangu. Daaaaah!!!! Hakuna siku niliumia kama siku ile, nampigia kumuuliza akanichana live kwamba kwa sasa hayupo comfortable kuwa na mimi labda tupeane likizo. Nilichofanya nikafuta kila kitu kumuhusu halafu nikaanza mtihani mzito wa kumsahau ilichukua muda ila nilifanikiwa
R.I.P classmate kumbe bado hupo (go) jamvin?
Mimi ni mwanaume lakini nilichogundua ni kuwa siku hizi malalamiko ya wanaume kwa wanawake kwenye uhusiano yamekuwa mengi sana. Tatizo liko hapa: wanawake wa siku hizi wamejitambua na siyo kama wale wa zamani. Zamani mwanamke alikuwa ni kiumbe wa nyumbani, mlezi wa watoto wakati mwanaume alikuwa ni mtu wa kutoka, kufukuzia wanawake wengine kama anavyopenda na kufanya atakavyo. Sasa hivi utandawazi umefanya wanawake kuwa wajanja na kujibu mapigo. Zamani mwanamke akibadilisha wanaume kila uchwao alikuwa anaitwa malaya siku hizi wanasema kaachana na fulani na inaonekana ni jambo la kawaida kabisa.Ukiona karudi ujue kuna kisasi hajakimaliza.
Yote chanzo ni nyie, mna ushubwada mwingi sana.!! Sasa KE akichoka mnaanza kujiliza.
Chanzo ni nyie, umemkuta mtoto wa watu unamvamia unamtongoza, anakukubali na bichwa lako km shoka.!! Baada ya muda unaanza kuleta ujuaji akikulipizia unaanza keleleAkili zenu mnazijua wenyewe wala msitusingizie kuwa chanzo ni sisi.
Sasa Lamomy unataka kusema saivi haupo Kwenye serious r/ship inanoweza kuzalisha ndoa?Hamna bana, mimi mapenzi nayachukulia km burudani wala siyapi kipaumbele. Dj akizima muziki naenda kulala 😂😂😂
Unakaribia kufa bro, ushaanza kugundua siri zetu.!! 😂😂😂Mimi ni mwanaume lakini nilichogundua ni kuwa siku hizi malalamiko ya wanaume kwa wanawake kwenye uhusiano yamekuwa mengi sana. Tatizo liko hapa: wanawake wa siku hizi wamejitambua na siyo kama wale wa zamani. Zamani mwanamke alikuwa ni kiumbe wa nyumbani, mlezi wa watoto wakati mwanaume alikuwa ni mtu wa kutoka, kufukuzia wanawake wengine kama anavyopenda na kufanya atakavyo. Sasa hivi utandawazi umefanya wanawake kuwa wajanja na kujibu mapigo. Zamani mwanamke akibadilisha wanaume kila uchwao alikuwa anaitwa malaya siku hizi wanasema kaachana na fulani na inaonekana ni jambo la kawaida kabisa.
hii sasa ndio comment.......exellentNa pia akirudi kwako , usimrudie. Never be a backup option. Simps hawatalielewa hili.
hawa viumbe hawanaga hata chembe ya huruma akishahamisha upendo.