Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,199
Tatizo la tafiti nyingi zinafanywa kwa kutumia questionnaire na interview, with little observation. sasa hapo utategemea majibu gani. Ninawajua wanawake walioolewa wakiwa na mamiili ya kutisha, wakaingia kwenye ndoa zenye wanaume waliopinda akili, sasa hivi hao wadada ni vimodo. Hivi ukiwa frustrated, hiyo hamu ya kula inatoka wapi? Tena nafikiri wanawake wakiwa kwenye msongo wa mawazo ndo miili yao huwa inaporomoka ghafla. Nafikiri unene unatokana na kuridhika.Mkuu Invisible kwanza heshima yako............
Nakubali kutokubaliana lakini ukweli ndio huo, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa na wataalamu wa saikolojia....