Ukiona mwanamke kanenepa, jua sababu ni hii…!

Ukiona mwanamke kanenepa, jua sababu ni hii…!

Mkuu Invisible kwanza heshima yako............
Nakubali kutokubaliana lakini ukweli ndio huo, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa na wataalamu wa saikolojia....
Tatizo la tafiti nyingi zinafanywa kwa kutumia questionnaire na interview, with little observation. sasa hapo utategemea majibu gani. Ninawajua wanawake walioolewa wakiwa na mamiili ya kutisha, wakaingia kwenye ndoa zenye wanaume waliopinda akili, sasa hivi hao wadada ni vimodo. Hivi ukiwa frustrated, hiyo hamu ya kula inatoka wapi? Tena nafikiri wanawake wakiwa kwenye msongo wa mawazo ndo miili yao huwa inaporomoka ghafla. Nafikiri unene unatokana na kuridhika.
 
Na wewe umezidi na madepressing utafiti yako! Not LOL!

Now LOL!
Kaunga hulali tu.......! LOL
Haya kesho naweka uzi kuhusu kuku mitetea wa Zenji...... Nishasilimishwa huku kwa maandalizi ya mwezi mtukufu..
Leo niko viunga vya Paje kwa akina Zinduna......LOL
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi ungeweka percentage ningekuwa upande wa pili yaani kwa wale wasionenepa maana nikipata msongo wa mawazo hata kwa kipindi kifupi tu napoteza kabisa hamu ya kula na hupungua haraka sana.
 
Last edited by a moderator:
Mimi niko tofauti kwa kweli! Nikiwa stressed hua napoteza hamu ya kula kabisa everytime nikitaka kula nahisi kushiba..kama kuna wanawake wakiwa na msongo wa mawazo ndo wanakula zaidi basi hongera zao!
 
Hapo red nimetabasamu manake nikicheka ntalambwa ban..... we we we na athubutu huyo asiyejipenda kumlamba ban.... babu kipenzi cha wajukuu wote wa kike jf aka ODM aka Asprin ...

Hee!Kipenzi cha wajukuu wa kike!!!!Lakini my wife hayumo!!Ole wenu. . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Hi thred imgepelekwa jf doctors kw wenye professional zao hapa naona wa2 wanarandaranda 2 cjui biology ya olevo inawawasha!
 
Hi thred imgepelekwa jf doctors kw wenye professional zao hapa naona wa2 wanarandaranda 2 cjui biology ya olevo inawawasha!
Wewe huoni mambo yanayohusu ndoa katika thread hii.....?
 
Ukweli ni kuwa wanawake wakizungu wakinenenpa hawavutii na wanawake wengi wa kiafrika wakiwa wembamba hawavutii sababu mamifupa yao ni mipana hivyo wakijikondesha mifupa ya kwenye shingo zao zinatoka nje na kuwafanya waonekane kama skeletoni na sura kama wazee tofauti tu ni kwa wale waliozaliwa na uwembamba.
 
Kuna ukweli fulani hapa ila pia huu utafiti kama walivosema wengine umebase sana kwa wazungu..so umeignor other controlling factors kama income levels, mazingira, (rural au urban) na genetical factors (wengine unene ni suala la kurithi hakuna namna)
 
Sio kweli Mtambuzi , labda useme baadhi ya wanawake........uwe na msongo afu upate hamu ya kula mpaka unenepe?.....kama wako wa aina hiyo basi jua watu tunatofautiana sana.....nijuavyo mimi ugomvi haswa unaohusu mahusiano hufanya mtu kupoteza hamu ya kula kabisa.......misongo hukondesha bana!.....ila sijui labda wapo unaowasema wewe ila sio wanawake wote!
Mimi ni mmoja wapo ninae kula sana nikiwa na msongo wa mawazo kama mtambuzi alivyoelekeza. Hajakosea kabisaa ni kweli tupu hiyo.
 
View attachment 58041

Hivi sasa wataalamu wamegundua kwamba wanawake walio kwenye kusongeka kiakili hula sana kuliko wanaume. Katika kula huko, hujikuta wakinenepa kupindukia.

NAPINGANA NA WEWE/ MTAFITI WAKO KATIKA HILI.... wanawake wengi walioridhika na maisha, wenye furaha amani na upendo katika ndoa zao ndio huwa na nafasi nzuri ya kunenepa na hii hutokea kwa sababu ya kuridhika zaidi kuliko hata huko kula sana. Ujue kwa sisi wanawake kitu tunachohitaji katika mahusiano hasa huwa ni kujaliwa (care and concern)security, upendo, furaha na amani ( ukifanikiwa kuyapata haya hata kama pesa hakuna lakini wanawake hutulia na kuridhika sana)

.... Unene wa ziada ni hatari kwa maisha ya mhusika......

hapa ndio umenena, unene si mzuri kwa afya na hata kwa mtazamo wa nje!
 
Back
Top Bottom