Ukiona mwanamke kanenepa, jua sababu ni hii…!

Mkuu Invisible kwanza heshima yako............
Nakubali kutokubaliana lakini ukweli ndio huo, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa na wataalamu wa saikolojia....
Tatizo la tafiti nyingi zinafanywa kwa kutumia questionnaire na interview, with little observation. sasa hapo utategemea majibu gani. Ninawajua wanawake walioolewa wakiwa na mamiili ya kutisha, wakaingia kwenye ndoa zenye wanaume waliopinda akili, sasa hivi hao wadada ni vimodo. Hivi ukiwa frustrated, hiyo hamu ya kula inatoka wapi? Tena nafikiri wanawake wakiwa kwenye msongo wa mawazo ndo miili yao huwa inaporomoka ghafla. Nafikiri unene unatokana na kuridhika.
 
Na wewe umezidi na madepressing utafiti yako! Not LOL!

Now LOL!
Kaunga hulali tu.......! LOL
Haya kesho naweka uzi kuhusu kuku mitetea wa Zenji...... Nishasilimishwa huku kwa maandalizi ya mwezi mtukufu..
Leo niko viunga vya Paje kwa akina Zinduna......LOL
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi ungeweka percentage ningekuwa upande wa pili yaani kwa wale wasionenepa maana nikipata msongo wa mawazo hata kwa kipindi kifupi tu napoteza kabisa hamu ya kula na hupungua haraka sana.
 
Last edited by a moderator:
Mimi niko tofauti kwa kweli! Nikiwa stressed hua napoteza hamu ya kula kabisa everytime nikitaka kula nahisi kushiba..kama kuna wanawake wakiwa na msongo wa mawazo ndo wanakula zaidi basi hongera zao!
 
Hapo red nimetabasamu manake nikicheka ntalambwa ban..... we we we na athubutu huyo asiyejipenda kumlamba ban.... babu kipenzi cha wajukuu wote wa kike jf aka ODM aka Asprin ...

Hee!Kipenzi cha wajukuu wa kike!!!!Lakini my wife hayumo!!Ole wenu. . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Hi thred imgepelekwa jf doctors kw wenye professional zao hapa naona wa2 wanarandaranda 2 cjui biology ya olevo inawawasha!
 
Hi thred imgepelekwa jf doctors kw wenye professional zao hapa naona wa2 wanarandaranda 2 cjui biology ya olevo inawawasha!
Wewe huoni mambo yanayohusu ndoa katika thread hii.....?
 
Ukweli ni kuwa wanawake wakizungu wakinenenpa hawavutii na wanawake wengi wa kiafrika wakiwa wembamba hawavutii sababu mamifupa yao ni mipana hivyo wakijikondesha mifupa ya kwenye shingo zao zinatoka nje na kuwafanya waonekane kama skeletoni na sura kama wazee tofauti tu ni kwa wale waliozaliwa na uwembamba.
 
Kuna ukweli fulani hapa ila pia huu utafiti kama walivosema wengine umebase sana kwa wazungu..so umeignor other controlling factors kama income levels, mazingira, (rural au urban) na genetical factors (wengine unene ni suala la kurithi hakuna namna)
 
Mimi ni mmoja wapo ninae kula sana nikiwa na msongo wa mawazo kama mtambuzi alivyoelekeza. Hajakosea kabisaa ni kweli tupu hiyo.
 

hapa ndio umenena, unene si mzuri kwa afya na hata kwa mtazamo wa nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…