Hahahhahmpaka Madame B kafunga Pm kweli siye wanaume wa jf ni kiboko
endelea kujinadi nitakuzukia huko pm .. bado ujanishika pazuriha ha ha ha jirani yangu weweee sidhani kama una ujasiri huo
Mimi namshangaa sana huyu Mr. Verossa eti PM imefungwa wakati kila siku tunakuja kuchukua tenda......Ila umeadimika sana kule bondeni, tatizo nini?ππππHahahhah
Mie Pm yangu iko busy masaa 24/7 huenda mligongana na mwanaume mwenzio ndio maana ukahisi imefungwa
Muulize CHARMILTON akupe ushuhuda
ha aha labda kama si lijaliha ha ha sound za kike haziwezi kumng'oa mwanaume hata kidogo labda kwa Babu
Unajua kuna madili mengine lazima yafanyikie Pm
nivutie kwanzaHEBU MJARIBU 1 UKIWEZA NTAKUPA BONGE LA ZAWADI
pm inafungwaje etiha hahaha tumebadilisha mchezo... tunawinda hatuwindwi..
Mimi namshangaa sana huyu Mr. Verossa eti PM imefungwa wakati kila siku tunakuja kuchukua tenda......Ila umeadimika sana kule bondeni, tatizo nini?ππππ
Dah! Madame unavyo flow leo, si ajabu ukasababisha uchochezi.....ngoja nicheki salio....likifikia safe line nakuja PM fasta.Unajua kuna madili mengine lazima yafanyikie Pm
Unaweza kuta nimeona una dili humu Jf, na namba yako ya simu sina, unadhani nitakupataje? au utaiweka hadharani niwafaidishe wengine?
Hao wanaofunga Pm zao, waache wafunge.
Washapata mabwana humu, ndio wamewapa mikwara ya kufunga Pm zao.
Mie kwa raha zangu, niko wazi....we njoo na dili zalo tusake pesa tu.
Dawa ya tatizo ni kukabiliana nalo na si kulikimbia.
nenda kwenye general setting itafute palepm inafungwaje eti
DADA UMENENA VYEMA SANA,HUENDA IKAWA JUMBE BORA YA MWAKA JFUnajua kuna madili mengine lazima yafanyikie Pm