Ukiona mwanamke wa JF kafunga PM yake ujue huyo mwepesi mwepesi

Na ukiona mgumu mgumu ujue hilo dume... wanawake wote ni walaini laini, wepesi wepesi...
 
Hata wewe nahisi ni moja ya victims wa kufungwa kwa PM,.....mbona unahaha juu ya kufungwa kwa PM?😀😀😀😀😀
Mie siyo mhanga ila nina sababu yangu iliyonifanya niandike huu uzi
 
Hahahhah
Mie Pm yangu iko busy masaa 24/7 huenda mligongana na mwanaume mwenzio ndio maana ukahisi imefungwa
Muulize CHARMILTON akupe ushuhuda
Mimi namshangaa sana huyu Mr. Verossa eti PM imefungwa wakati kila siku tunakuja kuchukua tenda......Ila umeadimika sana kule bondeni, tatizo nini?🙁🙁🙁🙁
 
Madame B ni mwanamke rijali, hawezi kufunga PM kizembe.🙁🙁🙁🙁🙁
Unajua kuna madili mengine lazima yafanyikie Pm
Unaweza kuta nimeona una dili humu Jf, na namba yako ya simu sina, unadhani nitakupataje? au utaiweka hadharani niwafaidishe wengine?
Hao wanaofunga Pm zao, waache wafunge.
Washapata mabwana humu, ndio wamewapa mikwara ya kufunga Pm zao.
Mie kwa raha zangu, niko wazi....we njoo na dili zalo tusake pesa tu.
Dawa ya tatizo ni kukabiliana nalo na si kulikimbia.
 
Mimi namshangaa sana huyu Mr. Verossa eti PM imefungwa wakati kila siku tunakuja kuchukua tenda......Ila umeadimika sana kule bondeni, tatizo nini?🙁🙁🙁🙁

Mie sikimbii Pm
Ukija kindava, tunachanana live hukohuko na yanaishia hukohuko.

Kule niponipo....niko kama mchunguliaji.....'nimeokoka'
 
Unajua kuna madili mengine lazima yafanyikie Pm
Unaweza kuta nimeona una dili humu Jf, na namba yako ya simu sina, unadhani nitakupataje? au utaiweka hadharani niwafaidishe wengine?
Hao wanaofunga Pm zao, waache wafunge.
Washapata mabwana humu, ndio wamewapa mikwara ya kufunga Pm zao.
Mie kwa raha zangu, niko wazi....we njoo na dili zalo tusake pesa tu.
Dawa ya tatizo ni kukabiliana nalo na si kulikimbia.
Dah! Madame unavyo flow leo, si ajabu ukasababisha uchochezi.....ngoja nicheki salio....likifikia safe line nakuja PM fasta.
 
Unajua kuna madili mengine lazima yafanyikie Pm
Unaweza kuta nimeona una dili humu Jf, na namba yako ya simu sina, unadhani nitakupataje? au utaiweka hadharani niwafaidishe wengine?
Hao wanaofunga Pm zao, waache wafunge.
Washapata mabwana humu, ndio wamewapa mikwara ya kufunga Pm zao.
Mie kwa raha zangu, niko wazi....we njoo na dili zalo tusake pesa tu.
Dawa ya tatizo ni kukabiliana nalo na si kulikimbia.
DADA UMENENA VYEMA SANA,HUENDA IKAWA JUMBE BORA YA MWAKA JF
 
Back
Top Bottom