Ukiona mwanamke wa JF kafunga PM yake ujue huyo mwepesi mwepesi

Ukiona mwanamke wa JF kafunga PM yake ujue huyo mwepesi mwepesi

Nimekubali hapo the matter of timing
Mkuu ukiweza kuwa-time utawalamba wengi sana.

Utashangaa wanakuja kukuambia siku ile ni shetani alinipitia wala usingenipata😀😀😀😀We ushajitandikia zako hapo.
 
Hata Yesu na Mohamed walijaribiwa ili kushinda majaribu ya shetani.Turudi kwenye mada ninaposema Mwepesi mwepesi namaanisha yaani mlaini laini ndio maana anafunga profile lake huyu hana tofauti na mwanamke ambaye umemuoa unaishi naye then analock kwa password simu yake
Jf siyo mahali pa kutafuta wasichana wakuchart nao nenda kwingine. Humu tunajadili how to move on with life and how to build the world not to discuss people. Simple mind wana sehemu zao kibao tu. Angalau unge discuss events tungekuelewa kwamba you are in between.
 
Back
Top Bottom