Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku zinavyososonga anabadili mpaka sura ya huyo binti na kuwa kama mwanaume.
Ukiwa na ndugu au mtoto wa hivyo funga au jiandae kiroho mwekee mkono kichwani pepo litamtoka na atakuwa mwanamke na kuipenda jinsia yake.
Binti anaishi ndani hana skirt wala gauni moja mzazi unachekea tu. Unatenda dhambi, mtimue ndani mwako kama umeshindwa kumfungua. Mungu ameumba kila kitu vizuri, hizo kasoro ni kazi ya Ibilisi. Mwombee mfungue au mpeleke kwa watu wa Mungu wamfungue. Unaishije ndani na mtu mwenye pepo mchafu, timua aondoke nyumbani mwako pamoja na pepo lake asikuletee laana ndani.
Kijana wa kiume akianza kuminya pua, anavaa vikaptura vya hovyo, anakaa jikoni muda wote kama paka, anavaa vi t-shirt kama viblauzi, anaonyesha ishara zote za kike mfungue haraka, huwezi mpeleke kwa watu wa Mungu wamfungue. Huwezi mfukuze ndani aondoke pamoja na pepo wake.
Dunia Ibilisi anaipeleka kasi sana.
Usikubali Ibilisi akushawishi uone ushoga na u tomboy ni jambo la kawaida. Ni laana ndani ya familia na nchi kiujumla.