Ukiona mwanaume anaogopa wanawake wa Kaskazini huyo ni Mvivu

Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko,
Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar.
shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako kiakili bila yeye kujua wewe unawaza kumla tu sasa kwa nini asitake hela.

Sisi mbona tunao na wengine tunaoa, wana akili ya maisha wanapenda kujishughulisha usipo mwoneshea au kumoa uhuru wa kufanya kazi lazima atataka ulichonacho na akikipata anakivutia kwake. I speaking from my experience nlidate na mchaga mwaka mmoja.
now nikitaka kufanya chochote ni kuchukua tu mtaji na kuingia popote pale, alinifundisha ujasiri.

Siwatetei na wala sina tena demu wa huko, nawachana tu.

ukitaka kujua namna ya kupambana na life la mtaa kaa na demu wa mitaa hiyo tena kwa akili mbona machaka ya hela utayajua tu.

Mwanaume kitu hutakiwi kufanya ni kudate na mke wa mtu au kudate na demu aliyeshindwa kwenye mahusiano kadhaa, huwezi kufanikiwa mahali wanaume wenzako wameshindwa.😂😂

📍🔨
 
1..Yaani wewe ndiyo mwanaume lelema yaani utoboe kwa ajili ya mwanamke aliye umbwa kukuzalia watoto kwa uchungu????🤭🤭🤭

2....Mwanaume anayetaka kulelewa ni wewe unatafuta mwanamke mpambanaji wewe uletewe tu na kutafuniwa yaani unataka spoonfeeding.🤗🤗🤗

3....sioni future yoyote kwa mwanamke bali mimi, mi mchagga ila wakichagga sitaki ishi nao.... kabila nyingine fresh.....wewe hutakuwa huwajui wachagga vizuri unawasikia na kuwaona, subiri siku yako ifike 😁😁😁😁
 
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko,
Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar.
shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako kiakili bila yeye kujua wewe unawaza kumla tu sasa kwa nini asitake hela.

Sisi mbona tunao na wengine tunaoa, wana akili ya maisha wanapenda kujishughulisha usipo mwoneshea au kumoa uhuru wa kufanya kazi lazima atataka ulichonacho na akikipata anakivutia kwake. I speaking from my experience nlidate na mchaga mwaka mmoja.
now nikitaka kufanya chochote ni kuchukua tu mtaji na kuingia popote pale, alinifundisha ujasiri.

Siwatetei na wala sina tena demu wa huko, nawachana tu.

ukitaka kujua namna ya kupambana na life la mtaa kaa na demu wa mitaa hiyo tena kwa akili mbona machaka ya hela utayajua tu.

Mwanaume kitu hutakiwi kufanya ni kudate na mke wa mtu au kudate na demu aliyeshindwa kwenye mahusiano kadhaa, huwezi kufanikiwa mahali wanaume wenzako wameshindwa.😂😂
Wauwaji afu wanatabia ya kukusanya ndugu nyumbani kwako.
 
Back
Top Bottom