Ukiona mwanaume anaogopa wanawake wa Kaskazini huyo ni Mvivu


πŸ“πŸ”¨
 
1..Yaani wewe ndiyo mwanaume lelema yaani utoboe kwa ajili ya mwanamke aliye umbwa kukuzalia watoto kwa uchungu????🀭🀭🀭

2....Mwanaume anayetaka kulelewa ni wewe unatafuta mwanamke mpambanaji wewe uletewe tu na kutafuniwa yaani unataka spoonfeeding.πŸ€—πŸ€—πŸ€—

3....sioni future yoyote kwa mwanamke bali mimi, mi mchagga ila wakichagga sitaki ishi nao.... kabila nyingine fresh.....wewe hutakuwa huwajui wachagga vizuri unawasikia na kuwaona, subiri siku yako ifike 😁😁😁😁
 
Wauwaji afu wanatabia ya kukusanya ndugu nyumbani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…