Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani

Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani

Kua wanawake Wanaomba Ela utadhani walemavu[emoji3525]
IMG_20210908_195254.jpg
 
Tutaomba hatuwezi acha maisha magumu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuomba si kuomba omba mpenzi.

unaweza piga mzinga mmoja matata,ukaishi nao mwezi mzima.hali zenyewe mnazijua,sio mbaya kwenu pekee.
 
Mhh mtaombwa tu hakuna namna na nyie muache kutuomba utamu ili kila mtu abaki na cha kwake.
Utamu unauzwa halafu bei rahisi sana ujue[emoji3][emoji3].

Embu mtu offe vitu ambavyo hatuwezi pata kwingine.
 
Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli.
Umaskini tu wa mali na elimu. Watoto wa kike wa matajiri na ambao wameelimika kiasi flani hawana hii tabia KABISAA.
 
utamu unauzwa halafu bei rahisi sana ujue[emoji3][emoji3].

embu mtu offe vitu ambavyo hatuwezi pata kwingine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utamu wa kule barabaran hauwez kuwa sawa na wa ndani. Kitumbua unachouziwa pale mlimani City kimehifadhiwa vizur hakiwez kuwa sawa na kile kunachopikwa pale makutano kwenye vumbi bila kufunikwa japo wote ni utamu.
Mwingine usipomuomba waeza kuta mwez unakata hastuki wakati utamu km wote unampa, huduma zingine za usafi wake n.k
 
Tutaomba hatuwezi acha maisha magumu sana 😂😂😂😂😂😂
Sababu ni Umaskini tu wa mali na elimu. WAZAZI WENU WALISHINDWA KUJIWEKEZA VIZURI HADI WATOTO WA KIKE MNAHANGAIKA. Jamani pambaneni watoto wenu wasikulie kwenye dhiki ili mzazi uweze kumhudumia mahitaji yake yote. Asijehudumiwa na mwanaume.
 
Naona unawasambaratisha vijana wa hovyo wa kuomba omba kwa silaha za mahangamizi
 
Sababu ni Umaskini tu wa mali na elimu. WAZAZI WENU WALISHINDWA KUJIWEKEZA VIZURI HADI WATOTO WA KIKE MNAHANGAIKA. Jamani pambaneni watoto wenu wasikulie kwenye dhiki ili mzazi uweze kumhudumia mahitaji yake yote. Asijehudumiwa na mwanaume.
Ni kweli kabisa usemavyo wala hujakosea
Vipi we mwenzetu nyie wazazi walijipanga vyema?
 
Sababu ni Umaskini tu wa mali na elimu. Jamani pambaneni watoto wenu wasikulie kwenye dhiki ili mzazi uweze kumhudumia mahitaji yake yote. Asijehudumiwa na mwanaume.
Lakin wanawake tumeumbwa kuhudumiwa ama unasemaje ,sisi tunapokea tu
 
kuomba si kuomba omba mpenzi.

unaweza piga mzinga mmoja matata,ukaishi nao mwezi mzima.hali zenyewe mnazijua,sio mbaya kwenu pekee.
Eee kaka sasa kuna jamaa hapo katuchamba vya ukweli lakin sisi wapokeaji tu hadi sperms tunapokea tu
 
Jeff Bezoz
Elon Musk
Vladimir Putin
Bill Gates
Roman Abramovich
...all share one thing in common..(at one point in their life)..
.. Divorced..
..Money "may "have nothing to do with Relationship Survival..(no guarantee)..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Jifariji hivohivo umri Fulani ukifika hujaolewa unajikuta unafuga mbwa na unampenda kwelikweli

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom