DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Kama ww ni Mke wangu sawa kabisa. Nitakuhudumia na family nitaihudumia pia as the head of the family. Tatizo hii ya wasichana kupokea pokea hela za Wanaume imewaharibia wadada wengi sana maisha na kuua ndoto zao.Lakin wanawake tumeumbwa kuhudumiwa ama unasemaje ,sisi tunapokea tu
Me naona ni tabia tu maana mzazi/baba alisimamia shoo full maana ni wa kipato cha kati, maza nae hakikuwa kikubwa ila aliwekeza kwangu. Pamja na hayo kuomba kwa boy kama kawa..Sababu ni Umaskini tu wa mali na elimu. Jamani pambaneni watoto wenu wasikulie kwenye dhiki ili mzazi uweze kumhudumia mahitaji yake yote. Asijehudumiwa na mwanaume.
Tabia kama hizo zinaletwa na umaskini wa mali/ hela, umaskini wa elimu, na umaskini wa fikra. Wazazi hata wa kipato cha kati, wengi wana umaskini wa elimu ya malezi na elimu ya fikra. Anashindwa kupambana kumlea mtoto wa Kike akakua bila ya kuwa omba omba. Unakuta wazazi wenyewe wanataka mtoto awe chanzo cha kipato hata kutegemea Mahari iwasaidie. Pia wazazi wanashindwa kufundisha mtoto wa Kike kwamba kudanga ni jambo lenye hasara maishani, na pia wanashindwa kumfundisha ASIWE NA TABIA YA KUSHOW OFF. Mimi nime-date Wadada kadhaa lakini unakuta badala ya aniombe hela ya mtaji wa biashara au ya kufanyia maendeleo, ni bora aniombe hela ya kusuka nywele, hela ya kununulia iPhone, hela ya kununulia nguo nk. Wengi ndio wananunuliwa hizo iphone kwelikweli, ila shule na vyuo wanaacha, mimba wanapachikwa na wanaume wanakimbia majukumu ya malezi, future inaharibika, na hata ukimwi wanaupata.Me naona ni tabia tu maana mzazi/baba alisimamia shoo full maana ni wa kipato cha kati, maza nae hakikuwa kikubwa ila aliwekeza kwangu. Pamja na hayo kuomba kwa boy kama kawa..
Unauza sh ngapi?Mhh mtaombwa tu hakuna namna na nyie muache kutuomba utamu ili kila mtu abaki na cha kwake.
Mm mbona sipo hivyo?nikiombwa hela sitoi na nikipata dem ambae c muomba hela sitoi kwa hiari mpk aombe...Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli.
Mwanaume anaweza kutoa hela nyingi kwa mwanamke asiyemuomba hela lakini hutoa pesa kidogo kwa mwanamke muombaji hela. Tafsiri ya mwanaume kwa mwanamke asiyeomba hela huwa ndio mwanamke sahihi na mstahamilivu hata kwenye vipindi vigumu.
Hela hutakiwi kuiomba kwa mwanaume ila unatakiwa kuonesha thamani kama hela atakupa yeye mwenyewe bila kuomba, na uzuri wa mwanaume ukiijenga thamani kwake wala hana ajizi kukupa hela. Mwanamke aliefundwa na akafundika kamwe hawezi kuomba hela kwa mwanaume, matokeo ya kutokufundwa ndio hili wimbia la omba omba tunaloliona zama hizi.
Nafasi ya hela kwenye mapenzi ya dhati ni ndogo sana na sio kweli kuwa ukipendwa kwa dhati ndio hupewa hela. Hela hutumika kununua bidha au thamani ya kitu ukiona wewe muda wote ni kuomba omba hela tu jua kuwa, mbele ya mwanaume kwake hukuona kama bidhaa na sio mwanamke mwenye thamani mbele yake.
Kama baba yako mzazi kashindwa kukutatulia changamoto zako za kimaisha, vipi kijana uliyekutana nae mtandaoni akutatulie changamoto za maisha yako yote? Acha kuomba omba hela kwa mwanaume unapunguza thamani yako na mwisho wa siku utapewa talaka kweupe kwasababu wanaume hawapendi kuombwa hela.
Hahaha wewe kibokoMm mbona sipo hivyo?nikiombwa hela sitoi na nikipata dem ambae c muomba hela sitoi kwa hiari mpk aombe...
Umeelewa lakini?!Jifariji hivohivo umri Fulani ukifika hujaolewa unajikuta unafuga mbwa na unampenda kwelikweli
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Niunganishe na mdogo wake kwanza kama yupo...[emoji39]G wangu una nafasi pekee sana mbinguni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie kuna wanawake wanaomba Hela yaniii Ni helaaa tuu.. Mpaka kumtafuta unaogopa
Kuna binti akawa analia Simtafuti wakati nikimcheck tu ni mwendo wa Kusema sijalaa...mara sijui naumwa nataka nikanunue dawa akisema shida ya hela ukimpotezea ananuna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hela helaa helaaa hapana aisee hata nikionaga msg yake kujibu nlikuwa naogopa... njaa za chips haziishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha wewe mtu..
Huyo Binti ni Mwanachuo?Kuna binti akawa analia Simtafuti wakati nikimcheck tu ni mwendo wa Kusema sijalaa...mara sijui naumwa nataka nikanunue dawa akisema shida ya hela ukimpotezea ananuna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hela helaa helaaa hapana aisee hata nikionaga msg yake kujibu nlikuwa naogopa... njaa za chips haziishi