Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hapa wengi Leo nitawashangaza Kuna Mdau kauliza huku. Hivi mliooa mlipata wapi Wanawake wa Kuoa?
Ni swali ambalo mwanaume ambaye hajaoa anaweza kulichukulia poaaa poaa kabisa.
Ukweli ni huo, na ipo hivi.
Ulishawahi kujiuliza kwann mwanamke mzuri unayemfaham wewe kazalia kwao?
Ni Kwa sababu mwanamke mzuri akiwa kwenye miaka 20-30 Huwa hawazi lolote kuhusu Ndoa, anachowaza ni avae vizur, ale vizur, saluni, atembelee matako na show off za kutosha, vitu vya gharama n.k
Sasa kwenye huo umri wa Mwanamke, wengi wa wanaume wanakuja wapo kwenye 25-33, kwenye huo Umri, tukichulia other factors remain constant, Mwanaume anakua bado hajatoboa kimaishaz Hana Yale Maisha ambayo Demu Pisi Kali anataka. Wee una kamshahaea Kako kanakatwa weee unabaki na Laki 8 , unaweza mnunulia demu Pisi Kali Macho matatu? Uongooooo!
Matokeo yake nn? Mwanaume wa aina hiyo anaweza kuamua asioe kwanza, aendelee kukutafuta zaidi ila aliendelea kula Pisi Kali Kali mara Moja Moja, (Kwa wenye D2, kumla Pisikali mara mbili Kwa mwezi hata kama umechoma 300k) ni faida kuliko kumfuga Ndani ,Kwasababu ukimfuga atakupa mawazo sana.
Sasa Kijana muoaji huyu ambaye bado anajitafuta anabaki na chaguzi Moja tu 'Kuoa yule ambaye utasikia ndo chaguo lako'
Hapa anakua kujitwalia mwanamke wake wa kawaida asokua na gharama, atakayeendana naye, muhimu anakojoa na anazaaa.
Hiyo inatuleta kwenye Hoja ya kwamba, Mademu wengi Pisi Kali hawaolewi, wanaolewa mademu wa kawaida'.
Na kama uliwah kusikia, "Jamaa alikua anakula mademu wakalii Sanaa, ila kwenye Kuoa kaoa demu wa kawaidaaa mnooo".
Oaaa Kwa Nature ya sisi wanaume, ujue kaoa Kwa sababu hamna namna, Hana Maisha ya kumkeep Pisi kali.
Hapo ndipo utaona Ukiwa unataka kuoa, ukitafuta zile pisi kaliiii, unaambulia patupu, ila ukitafuta wa kawaida unapata.
Bahati mbaya sana ni ngumu kukuta demu Pisi Kali alafu anaakili, yaan awe pisi Kali alafu mweupe?Tena anajipost TikTok amebinua makalio, anapewa Likes Na comments 500K Na awe na akili 😂 , ni ngumu mnooo japo wapo baadhi, Hawa Pisi Kali ule umri wa kuolewa Huwa ndo wanakula Maisha, mpaka azalishwe kwanza na Jamaa fulan, baadae ndo atafute Ndoa.
Sasa ona kinachotokea, anakuja kutafuta Ndoa, Licha ya kwamba bado ni Pisikali ila anamtoto, Sasa kwenye vikao vya wanaume, sambamba na msisitizo wa Mama zetu na Shangazi zetu, kuanza mpira umeshafungwa Goli Moja napo ni kipengelee ( japo inawezekana pia) anamkumbuka yule Jamaa alikua anajitafuta, anakuta jamaa Kwa Sasa anamiaka 36, ana Mke na watoto wawili.
Anarudi nyuma ,atasangizia mayai ni mengi yanasumbua inabidi azae, anatafuta Tena Jamaa anayejiweza, anategesha mimba basi atazaa mtoto wa pili na watatu anafunga uzazi!
Sio kwamba Wanawake wakuoa hawapo, wapo, ila Maisha ya muoaji ,na demu anayetaka amuoe, ni vitu viwili tofauti, ukitaka kuamini Mwambie Mjomba wako kijijin huko akuunganishe na Binti wa Kuoa..utapata mapema.
Sasa uamuzi ni wako, unataka kuoa unayemtaka yaan wake wengi uchague wewe, hakikisha una Mpungaaa LAKINI NAKUHALIKISHIA, SIKU UKIYUMBA TU NAYEYE ANAYUMBA ANAONDOKA SHWAAAAAA!
Ila kama unajitafuta, Jitwalie tu Mwanamke wako safi atakayeishi sawa na Kauchumi kwako na kuanzia hapo mtakua!
Ila Pisi Kali hizi mnazotafuta, at their age (20-30) akikubali kuolewa ,ujue ama Kakupendea PESA TU YAANI UMESHAJIPATA HIVO ATAISHI KIMALIKIA au Kwao wako vizur Hana njaa na kweli anahitaji kufanya familia Na wewe.