Ukiona Mwanaume kaoa pisi kali ujue alioa baada ya kujipata kimaisha. Wengi tunaoa kwakua tuliowaoa wanatuvumilia tunapoendelea kujitafuta

Ukiona Mwanaume kaoa pisi kali ujue alioa baada ya kujipata kimaisha. Wengi tunaoa kwakua tuliowaoa wanatuvumilia tunapoendelea kujitafuta

Wanawake pisikali wanatumika sana, kumbuka hilo, mwanamke akiwa pisi ataanza kuliwa toka shule ya msingi mpaka chuo, kwahiyo hawaoleki hao ni for show, uonekane kwa wana kuwa unakifa kikali lakini kuwekwa ndani big no, Kama ulivyosema wengi wao japo sio wote kichwani hawako smart hawana akili ya maisha, kwa sababu wanajua uzuri wao ndio mtaji wao
Kilomita zimekuwa zimesoma namba kubwa sana, ni heri utafute young and fresh one kuliko kuingia ktk risk.
 
Ukweli mchungu.
PISI KALI NI KWA MATUMIZI BINAFSI TU.
kuweka ndali ni kuishi jehanamu ndogo...uxoefu wangu huu
 
Back
Top Bottom