CHANANJA DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 772
- 1,121
wanawake wazuri KAMWE! hawaolewi, na wakiolewa ndoa haidumu, kwasababu kila mwenye uwezo wa kiFEDHA anamtaka amle tunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilomita zimekuwa zimesoma namba kubwa sana, ni heri utafute young and fresh one kuliko kuingia ktk risk.Wanawake pisikali wanatumika sana, kumbuka hilo, mwanamke akiwa pisi ataanza kuliwa toka shule ya msingi mpaka chuo, kwahiyo hawaoleki hao ni for show, uonekane kwa wana kuwa unakifa kikali lakini kuwekwa ndani big no, Kama ulivyosema wengi wao japo sio wote kichwani hawako smart hawana akili ya maisha, kwa sababu wanajua uzuri wao ndio mtaji wao