Ukiona Mwanaume kaoa pisi kali ujue alioa baada ya kujipata kimaisha. Wengi tunaoa kwakua tuliowaoa wanatuvumilia tunapoendelea kujitafuta

Kwanza mm wananikataa hao mapisi Kali Bora nioe ninae fanana nae🀣
 
Sasa mkuu sahv maisha hayajaa. Kaaa sawa
Msiruke step kwenye maisha. Kila jambo kwa kiasi.

Umri ukienda sana ndo ukumbuke kuoa wengi utakaokutana nao tayari ni β€œwake” za watu.
 
Kuna ukweli mkubwa kwenye mada yako
 
KWAHYO Mzee Mungu alikosea kuwaumba? Unaposema hawana akili na je ni matokeo ya wao kukosa akili
 
Pisi kali zipo ambazo zinaweza kukuelewa na ukaiweka ndani vizur tu na ikatulia

Ila kuna pisi kali za dar na pisi kali za mikoani

Pisi kali ya dar kuituliza ni mziki kama hauko vzur maana unakuta iliwah kuhongwa 2mil,
 
KWAHYO Mzee Mungu alikosea kuwaumba? Unaposema hawana akili na je ni matokeo ya wao kukosa akili
akili zao wamewekeza kwenye uzuri wao, ndio maana wanaishia kuzalishwa, ndio wale utasikia mwanaume bila dola 100 hajalala na mimi, uzuri kauthaminisha na dola
 
W
Pisi kali zipo ambazo zinaweza kukuelewa na ukaiweka ndani vizur tu na ikatulia

Ila kuna pisi kali za dar na pisi kali za mikoani

Pisi kali ya dar kuituliza ni mziki kama hauko vzur maana unakuta iliwah kuhongwa 2mil,
Nitafuta mwenye mapengo
 
Wacha tuolewe sasa
 
Kwa asilimia kubwa bandiko lako lina ukweli. Hawa tuliooa wanajua kuiheshimu na kuivumilia ndoa, wanajua thamani yake. Hizo pisi ni kuwekana kwa mkataba tu, sio kuoa..cost of maintenance ziko juu sana, can't afford!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…