Propaganda uchwara. So, what? Matatizo ya Venezuela ni tofauti na yetu. Japo, kuna ufanano kidogo kuhusiana na kama tutawekewa vikwazo. Hii wanapaswa wafundishwe hawa washenzi walioua na kuiba kura.Ubabe na ujeuri wa raisi wao ndio umefikisha taifa hapo.
Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota.
View attachment 3515827
Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
View attachment 3515828
Zambi ni zile zile kwani zambi ya kuzini hipo nchi nyengine ?.Propaganda uchwara. So, what? Matatizo ya Venezuela ni tofauti na yetu. Japo, kuna ufanano kidogo kuhusiana na kama tutawekewa vikwazo. Hii wanapaswa wafundishwe hawa washenzi walioua na kuiba kura.
Inatakiwa utoa comparison ya mwaka fulani na mwaka huu.. Pengine uwa ipo ivyo miaka yote who knows.Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo.
Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota.
View attachment 3515827
Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
View attachment 3515828
Nikadhani utakuja na facts kwa nini unasema Tanzania haiwezi kufikia huko kumbe unaleta hisia tu. Hovyo kabisaTanzania haiwezi kufikia huko na haitakaa ikatokea. Mbali na watawala kufanya mambo ya kinyama na kipuuzi, siombei Wala kuwazia nchi kufikia hii hatua..
Anayaw nikiwa na huku tano, nakula mtoto makali ya huko eeeh ?
Una fact zipo za maana ambazo unafikiri Tanzania itafikishwa huko kama sio ushabiki na uwendawazimuNikadhani utakuja na facts kwa nini unasema Tanzania haiwezi kufikia huko kumbe unaleta hisia tu. Hovyo kabisa
Dha,Dhe,Dhi,Dho,Dhu.Zambi ni zile zile kwani zambi ya kuzini hipo nchi nyengine ?.
Mkuu tukiwekewa Vikwango Wana Usalama wetu kutoka Majeshi yote wataacha kazi na kuikimbia nchi na kwenda South Africa kuombq kazi za Ulinzi,hii imetokea Zimbabwe Polisi na Wanajeshi wao walivua Magwanda na Kuzamia Kwa Madiba kuomba kazi za Ulinzi na kazi za Mashambani na wengine kuwa Wamachinga.Propaganda uchwara. So, what? Matatizo ya Venezuela ni tofauti na yetu. Japo, kuna ufanano kidogo kuhusiana na kama tutawekewa vikwazo. Hii wanapaswa wafundishwe hawa washenzi walioua na kuiba kura.
Vas 1= Tsh10 bado pesa yetu ni madafu kwao wacha kutudanganya😁Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo.
Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota.
View attachment 3515827
Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
View attachment 3515828
Zambi ni nini?Zambi ni zile zile kwani zambi ya kuzini hipo nchi nyengine ?.